ads slot

Latest Posts:

IAESO CUP:- Dip I morning Waitandika Dip II Evening Kwa matuta ya Penailt 5 kwa 4

 Wachezaji wa Timu ya Mpira ya Dip II wakipiga picha ya Pamoja kabla ya Mechi kuanza, wakiwa na matumain ya kuibuka na ushindi.
 Kipindi cha mapumziko timu zote zilikuwa pamoja wakipata Maji
 Mshambuliaji wa Dip I morn akiwa na Furaha ya hali ya juu baada ya kuibuka kidedea kwa mabao 5 kwa 4 dhidi ya Dip II Evening


Mara baada ya Mchezo, wachezaji wakipongezana kutokana na Ushindi walioupata Leo katika mechi ya Ufunguzi.
Matukio yote Na:-  Rashidi Juma(Hisia za Mwananchi Blog) wa Dip II - Evening
Share on Google Plus

About Hisia

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

0 comments:

Post a Comment