Kikosi Cha Timu ya Dip II kilichoanza Leo
Kikosi cha Timu ya Dip I Kilicoanza Leo
Kikosi cha Dip I Kikifanya Mazoezi Kabla ya Mchezo wao
Kikundi cha Mkubwa na Wanao kutoka Dip II evining Wakifuatilia kwa makini Mchezo kati ya Dip II wanawake/Wasichana na Dip I Wanawake/Wasichana
Naibu Waziri wa Habari Akiwa Kazini akitafuta Picha Safi kwa ajili ya kutoa Habari
Waamuzi wa Mchezo wakitoa Maelekezo ya mchezo kwa timu zote mbila kabla ya Mchezo kuanza
wenye Jezi za Bluu ni Timu ya Dip I na Wenye Njano ni Dip II
Mchezaji wa Dip I akimtafuta mchezaji mwenzake ili amrushie Mpira.
Rachel ameonyesha kiwango cha juu katika mchezo wa leo na kupelekea Uwanja mzima kutaja jina lake kwa kumshangilia(wakimuita Rachel Magoli)
Katika Mazingira magumu ya ufungaji Dip II Wanapachika Bao.
Mchezo ukiendelea kwa kasi ya hali ya juu
Wachezaji wa Dip I nao hawakuonyesha Udhaifu kwa kuonyesha mchezo safi uliowavutia mashabiki wengi
Wachezaji wote wakiwa mapunziko mara baada ya kipindi cha kwanza kuisha
Rachel akiteta kitu na Shabiki wa akifuatilia mchezo huo na kuonyesha kuwa na maumivu katika mkono wake.
Rachel akipata matibabu wakati wa mapumziko, aliyoyapata katika mchezo wao dhidi ya Dip I
Habari/Picha Na:- Rashidi Juma(Hisia za Mwananchi/Tabasam Blog)


























0 comments:
Post a Comment